Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Mhe.Aggrey Mwanry (MB) akitoa hotuba wakati wa kufunga Mafunzo ya Madiwani nchini Mei, 16, 2012 Korogwe, Tanga. Mafunzo hayo yalifunguliwa katika Manispaa ya Mtwara Mikindani na aliyekuwa Waziri wa Nchi TAMISEMI Mhe.George H.Mmkuchika Aprili, 02, 2012 ambaye sasa ni Waziri wa Utawala bora.
Picha ya Pamoja
Picha: Pmoralg
Naibu Waziri wa Nchi – TAMISEMI akiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa Madiwani wa Korogwe.