Watumishi wanawake wasomi mnaombwa kujaza taarifa kwenye fomu iliyoambatishwa na kuirejesha kwa DOD mapema iwezekanavyo ambaye ataziwasilisha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma tarehe 20/2/2007.
Kiwango cha elimu kinachokusudiwa ni Diploma na kuendelea kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
Fomu ziwasilishwe katika hard copy kwa DOD na pia electronically kupitia:
msmbegu@pmoralg.go.tz au marimbe@yahoo.com
Fomu imeambatanishwa.
|