Contact   |   Site map  


 

 
 

TAMISEMI KUSHIRIKI WIKI YA UTUMISHI WA UMMA

Date: 15th Jun 09 at 8:00am
to 23rd Jun 09 at 6:00pm
Location: Mnazi Mmoja Dar es salaam
Contact Person: IEC UNIT
Contact Telephone:
Attached Document:



Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa OWM TAMISEMI itashiriki katika maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma yaliyopangwa kufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 23 juni mwaka huu.

Maandalizi kwa ajili ya maonesho hayo yanaendelea ambapo OWM-TAMISEMI pamoja na taasisi zake za Shirika la Elimu Kibaha, Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Mradi wa Mabasi (DART) pamoja na Mfuko wa watumishi wa Serikali za Mitaa pamoja na Bodi ya Mikopo ya ya Serikali za Mitaa.

Katika maadhimisho hayo wananchi watapata fursa ya kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na TAMISEMI na taasisi hizo.


 
  June 2009  
S M T W T F S
  1 2 3 4 5 6
7 8 9 10 11 12 13
14 15 16 17 18 19 20
21 22 23 24 25 26 27
28 29 30        

<< back to list of events.