| Date: |
1st Jul 09
8:00am - 6:00pm |
| Location: |
Musoma |
| Contact Person: |
IEC UNIT |
| Contact Telephone: |
|
| Attached Document: |
|
Maadhimisho ya siku ya serikali za Mitaa mwaka huu yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 25 juni hadi tarehe 1 julai 2009 mjini Musoma katika mkoa wa Mara.
Maandalizi kwa ajili ya sherehe hizo yanaendelea vizuri ambapo kamati ya kitaifa inaratibu sherehe hizo.
Mwaka jana sherehe hizo zilifanyika Mkoani Shinyanga ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Celina Kombani (MB).
|