Contact   |   Site map  


 

 
 

WATUMISHI TAMISEMI KUUKARIBISHA MWAKA 2010

Date: 10th Jan 10
6:00pm - 6:00pm
Location: Dodoma
Contact Person: IEC UNIT
Contact Telephone:
Attached Document:



Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI jumapili tarehe 10 mwezi huu wanatarajia kukusanyika mjini Dodoma kwenye tamasha la kuuaga mwaka 2009 na kuukaribisha mwaka 2010.

Tamasha kama hilo lilifanyika mwaka jana ambapo watumishi wa tamisemi walipata fursa ya kufurahi pamoja na kubadilishana mawazo katika sherehe ambazo zilifanyika pia mjini Dodoma.  Katika tamasha hilo watumishi wa TAMISEMI pamoja na taasisi zake za Kibaha, Hombolo, DARTS, na watumishi wa Ofisi ndogo ya TAMISEMI iliyopo jijini Dar es salaam watajumuika pamoja katika tukio hilo.


 
  January 2010  
S M T W T F S
          1 2
3 4 5 6 7 8 9
10 11 12 13 14 15 16
17 18 19 20 21 22 23
24 25 26 27 28 29 30
31            

<< back to list of events.