Contact   |   Site map  


 

 
 

KONGAMANO LA MAKATIBU MHUTASI SASA KUFANYIKA APRILI 24

Date: 24th Apr 10
8:00am - 6:00pm
Location: Chuo cha Mipango, Dodoma
Contact Person: Odilia Mushi
Contact Telephone: 0262323176
Attached Document:



Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI inatarajia kuwa mwenyeji wa Kongamano la siku moja la Makatibu Mhutasi 1500 kutoka Wizara, Taasisi za Serikali na taasisi binafsi nchini.

Lengo la kongamano hilo ambalo litafanyika Dodoma tarehe 24/04/2010 ni kuwakutanisha wafanyakazi wa kada hiyo ili waweze kubadilishana mawazo, uzoefu katika kazi na changamoto wanazokabiliana nazo katika utendaji wao wa kazi.


 
  April 2010  
S M T W T F S
        1 2 3
4 5 6 7 8 9 10
11 12 13 14 15 16 17
18 19 20 21 22 23 24
25 26 27 28 29 30  

<< back to list of events.