Contact   |   Site map  


 

 
 

NAIBU WAZIRI KASSIM MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa (MB) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI mara baada ya kuwasili akiambatana na Mheshimiwa George Huruma Mkuchika, Waziri wa Nchi OWM TAMISEMI na Mheshimiwa Aggrey Mwanri, Naibu Waziri mwingine wa Ofisi hiyo







Posted: 4th Dec 10 by IEC UNIT
<< back to list of News.